Mrisho mpoto mwana Fasihi mkongwe akizindua kitabu cha mwandishi nguli Ali Salim Ali, katika chuo kikuu cha kiislam Mkoani Morogoro.
kitabu hicho cha DHAMBI YA MOYO, ni kitabu chenye mafunzo mengi mazuri katika swala zuri la mahusiano.
Ali Salim Ali ni miongoni mwa waandishi wenye tungo za kipekee, anayejua kutumia lugha ya Kiswahili ipasavyo.
unaweza kuwasilina naye kujipatia nakala yako sasa.
No comments:
Post a Comment